ivi wakongo nao ni maforeigner ennh??mh basi kazi kubwa ata msomali piaTatizo la kupenda foreigners litawaponza akina dada!!!!!!!!!! mnaona sasa. Eti aonekane matawi ya juu. Huyu dada alipoingia ni pabaya mno. Akina dada hawa ndo wale wanaosema sina mpango na wabongo kama walioko hapa arusha ambao kazi yao ni kuwekwa kinyumba na wazee wa kizungu na wakirudi Ulaya siku hizi hawaachi hata kijiko. Wewe ulimwachaje MKONGO mpaka akaingia ndani ungeomba ushauri kwa Mashosti zako kwanza. Ukifikiri una suprise watu kumbe umejisuprise mwenyewe
Hapo there is no love, y mdada ajisikie vibaya bf wake kukaa kwake? Yani dunia ya sasa ni ya kujali kiasi hicho? No way, mdada ajilegeze na amkubali mkaka kama alivyo, kama anahofia ndugu na jamaa kusema mkaka anakaa kwake, ataweza kumridhisha kila mtu. Yakimzidi idea ya kupanga kwengine na kwa mdada kupangishwa iz good but in this world utakimbia mangapi, people are born to say...cheers
ndo umeiconvet ivo?Orait, sasa naona tofauti ya wazi kati ya kuwa mwanaume na kuwa mwanamke......Mwanaume unatakiwa uwe na kila kitu...........mwanamke aje kwako akiwa na kidude chake tu!!
Orait, sasa naona tofauti ya wazi kati ya kuwa mwanaume na kuwa mwanamke......Mwanaume unatakiwa uwe na kila kitu...........mwanamke aje kwako akiwa na kidude chake tu!!
wanatafuta hii makitu!😛reggers:
yan ndg yangu acha tu !Hapana. I beg to differ.
Love has got nothin to do with anything hapo.
Hata kama hela hamna jamani we all like to see a man who can fight,
Hata chumba kimoja kimshinde kupanga...?? The idea sio tu kuhofia kwamba ndugu watasema nini,
which ofcourse lazima watasema-maana wanapomuoza binti wanategemea kumuoza kwa mtu ambaye ataweza
kumtunza, si kwa maana kwamba binti awe anategemea kila kitu kwake, but atleast kuwe kuna kiongozi kati yao.
Kuuza nyumba afu wakajenge nyingine??? haiingii akilini, ile ni asset tayari,
si bora wapangishe, watafute vyumba viwili wakae - wafanye savings wajenge nyumba nyingine
Otherwise a man who does not know how to fight..........mmh sijui kwa kweli
Orait, sasa naona tofauti ya wazi kati ya kuwa mwanaume na kuwa mwanamke......Mwanaume unatakiwa uwe na kila kitu...........mwanamke aje kwako akiwa na kidude chake tu!:A S 13::A S 13:!
hahahaha...... mwe jamani sidhani kama alimaanisha hivyo!!
yan ndg yangu acha tu !
pameaniacha hoi apo pia pa kuuza nyumba mwanume gan sasa uyu kilaza kias iki?uuze nyumba usawa huu?apo anataka ela tu auze nyumba then ajifanye nipe mimi nizisimamie katika kujenga nyumba nyingne..ndo apo atakapomwita shetan malaika......uyo atakimbia.anajua kuuza nyumba saizi ela ndefu akijimegea m70 tu kwan kakosa nin?
eeh jaman watu wengne wanajua kupenda ennh????????/au ni uvivu wa kufikiri na ufinyu wa utambuzi??
dahh apana uyo ningemtoa nduki kwa mwendo wa chura...kafiri tu uyo atakiwi chumban wal seblen......!!!
labda apo dada ndo analipa luku,maj ,fud na mapouda jamaa yeye kakaa tu seblen anabadilisha chanel na kukumbushia DSTV IMESISHA MUPENZ WANGU.....hahahaaaaa hahah i kinyume nyume jaman mistak!!!!!!!!!
Kwenye tembea tembea zako haujabahatika kumpata mkongo tupe experience yako basi
\Naah bahati nzuri hiyo experience sijawahi kupata....
maana if ever i came across with such a dumb person like this one...angejuta maisha yake yote:mad2:
yan ndg yangu acha tu !
pameaniacha hoi apo pia pa kuuza nyumba mwanume gan sasa uyu kilaza kias iki?uuze nyumba usawa huu?apo anataka ela tu auze nyumba then ajifanye nipe mimi nizisimamie katika kujenga nyumba nyingne..ndo apo atakapomwita shetan malaika......uyo atakimbia.anajua kuuza nyumba saizi ela ndefu akijimegea m70 tu kwan kakosa nin?
eeh jaman watu wengne wanajua kupenda ennh????????/au ni uvivu wa kufikiri na ufinyu wa utambuzi??
dahh apana uyo ningemtoa nduki kwa mwendo wa chura...kafiri tu uyo atakiwi chumban wal seblen......!!!
labda apo dada ndo analipa luku,maj ,fud na mapouda jamaa yeye kakaa tu seblen anabadilisha chanel na kukumbushia DSTV IMESISHA MUPENZ WANGU.....hahahaaaaa hahah i kinyume nyume jaman mistak!!!!!!!!!
naah bahati nzuri hiyo experience sijawahi kupata....
Maana if ever i came across with such a dumb person like this one...angejuta maisha yake yote:mad2:
ahh yan acha dadaUmeona eeh? ovyo kabisa...
Bora angekuwa anajitahidi basi atleast kidogo kidogo mtu unapata hata nguvu na we ya kuendelea kufight,
lakini mtu wa hivi si anakutia hata uvivu wa kufanya kazi....:mad2:
labda mtoa mada angetuambia huyu m congo anajishughulisha na nini mjini?...halafu kwanini alitoka kwake haraka haraka na kuleta ndugu kuwajaza hapo kwake wakati bado hajamaliza jukumu lake alilojikita?(baada ya uchumba c ndoa?)...huyu dada anatakiwa awe zaidi ya makini.
hebu piga picha unamkuta na yeye eti amekaa kwenye dressing table yake anajipiga mapouda sijui angle face sijui malotion gani akitoka hapo anaanza kutrim nyusi zake utasema hivi hiki chumba tunalala mwanamke na mwanaume au wote ni wanawake mnakuwa mnagombania vipodozi
ahh yan acha dada
sjui ata kwanini unafuga KALABASHA KM ILI..shda unyumba tu ndo uugharamie kwa nguvu ivi?kwa kupoteza rasilimali na mali zako zoooote???ahh jaman ..ina tanzanite??inameremeta?
mweee!!!
kwanza wamelegea legea walaiiiiiiiiini +cream zile bas wanatoa harufu fulan ivi ukimit nae usiku unaweza mwta we hadija........ndyo kwan uwongo ?wakitembea wanatembea km wanataka kucheza shamukware hahah mistak bwana!!!!!!!!
uko kwake kwenye chumba kimoja walikuwa wanalala km watu 10 ivi sasa kampata mdada yupo full bed king size bed,madstv, usafiri +mapochopocho na mengneyo kibao .SA KWANINI ASIHAMIE HARAKA HARAKA?ALIKUWA ANATAFUTA NA AMEMPATA SA KWANINI AREMBE??labda mtoa mada angetuambia huyu m congo anajishughulisha na nini mjini?...halafu kwanini alitoka kwake haraka haraka na kuleta ndugu kuwajaza hapo kwake wakati bado hajamaliza jukumu lake alilojikita?(baada ya uchumba c ndoa?)...huyu dada anatakiwa awe zaidi ya makini.
\
Hawa jamaa huwa wanifurahisha kitu kimoja hawawezi kununua chochote utawafanyia shopping hadi ya soksi