Mwanamke akikukimbia sidhani kama ni busara kumfuata...alikosea kumfuata asijekurudia tena...
Mhhh kama alipitiwa na shetani je??
Huyu shetani tutamsingizia mengi...alikimbia mara ya kwanza akamfuata...amekimbia tena...eti amfuate...atakuwa hajitendei haki!
Anaomba Ushaur Labda Na Wanawake Wengine Wapo Kama Alivyo Mkewe
Huyo kaka yako kashindwa kutatua hilo hadi wewe umtafutie ushauri?
Napata wakati mgumu kuamini kuwa mtu huyo anahitaji ushauri...