Mshapata majibu ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ

sanalii

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,434
5,094
255655851688_status_1fef3d6d79ff42299222aac6c49ccdf2.jpg
 
Iran saudi kusibgekuwa Na maambukizi
Mkuu ushafika iran au Saudi..
Je wanaume nao wanavaa hivyo!?
Je majumbani wakiwa na waume zao huvaa hivyo!?
Je saudia yote wanwake huvaa hivyo!?
Usijibu bilankujihoji kabla.ila mavazi hayo husaidia sana tena sana haswa mtu akiwa ni msafi zaidi/
 
Huyo mleta mada fala sana, yaani anaona ujiko kuvaa magunia kuficha jnsia na ndevu?
muwe mnaelewa kina kaka, post haisemi kuvaa hivyo kuna zuia Corona, ila wale waliokua wanadhan mtu akivaa hivyo hawezi kupumua sasa wana- experience wanapumua vipi.
Mbona mnaharaka sana
 
muwe mnaelewa kina kaka, post haisemi kuvaa hivyo kuna zuia Corona, ila wale waliokua wanadhan mtu akivaa hivyo hawezi kupumua sasa wana- experience wanapumua vipi.
Mbona mnaharaka sana
Sio haraka.

Hao ni makafiri ulipoleta huu uzi roho zimewauma.

Wanaona kama unaupigia chapuo uislamu.

Shida sana hii mijitu.
 
Hayo si ni magunia tu ya kuficha jinsia na ndevu na upepo unapita kama kawa hata corona inapenya tu.Ulikuwa unataka kusema nini kwani?
Hivi ni wapi mmeambiwa na mleta post kwamba kuvaa vile Kuna zuia Corona? Mbona mna mvamia mleta mada kwa hisia zenu binafsi?

Mleta mada ameleta picha hiyo kuwajibu waliokuwa wanakejeli wanawake wa kiislam kuvaa nikabu kuwa kupumua Ni taaabu, lakini Sasa watu wanalazimika kuvaa barakoa bila kupenda.

Jamani muwe mna elewa kabla ya kuchangia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
muwe mnaelewa kina kaka, post haisemi kuvaa hivyo kuna zuia Corona, ila wale waliokua wanadhan mtu akivaa hivyo hawezi kupumua sasa wana- experience wanapumua vipi.
Mbona mnaharaka sana
Usihangaike na wafuasi wa mchungaji Mashimo huwa hawaelewi na hawajui kuwa hawajui
 
Ulimbukeni tu,mswahili yeyote anayeiga utamaduni wa mwarabu au mzungu huyo mtu huwa namuona limbukeni asiye na akili,mfano mzuri ni vazi la hijab hili liliwasaidia watu wanaoishi jangwani kuepukana na vumbi la mchanga.lakini kwetu huku imekuwa kama ndio tiketi ya mtu kwenda peponi!!!

acha uongo kaka, kama ingekua wanavaa ili kuzuia vumbi basi hata wanaume wangekua wanavaa,
Pili, wale masister wa Ki-Roma wanaofunika vichwa, huko Italy nako kulikua navumbi? Kasome vizuri vitabu vya dini
 
Back
Top Bottom