Mshangao!..MRI na CT scan zaharabika tena

Mshangao!..MRI na CT scan zaharabika tena

H.T.P

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
1,169
Reaction score
1,298
Jamani mshaurini raisi mliye karibu naye...huu ni ufisadi mwingine..Leo hii machine hizo zimekufa tena
 
Wanatakiwa walete maTX kuoperate hizo machine,
wabongo washaoza kwa rushwa
 
We naye umbea mwingi machine ikizimwa kidogo unalalama eti umeharibika!
 
Hao jamaa wanam-beep Magufuli.

Magufuli ili kukataa huo mchezo wa hide and seek, awanunulie mashine 4 zaidi.
 
Tanzaniaaa eehhhh nchi yanguuu ehhhhh
 
Tafadhali tupe source ya Taarifa zako au Fafanua zaidi ili kuweka nyama topic yako.
Napata wakati mgumu kuamini taarifa hii lakini napata wakati mgumu zaidi kutokuiamini pia.
 
We naye umbea mwingi machine ikizimwa kidogo unalalama eti umeharibika!

We ndo bure kabisa ukilala ukiamka ndio mzee hata kinachozungumziwa hukijui..nani kakuambia zimezimwa?
 
Tafadhali tupe source ya Taarifa zako au Fafanua zaidi ili kuweka nyama topic yako.
Napata wakati mgumu kuamini taarifa hii lakini napata wakati mgumu zaidi kutokuiamini pia.[/QUOTE

Taarifa ya habari saa mbili radio one. Report kutoka hospitali ya taifa Muhimbili
 
Hilo Gundu litaondoka na Mtu. Nyie jifanyeni wajanja mtawaona wajanja zaidi yenu. Nashauri kama itagundurika nihujuma inafanywa na madaktari basi watimuliwe na vyeti vyao vichanwe
 
Waeke mpya na hao watu wa huko ndani hamishia kigoma wote
 
Waweke CCTV camera kubaini ufisadi nahisi kuna mwanga anazihujumu hilo ni jipu changa lakini linaweza tumbuliwa likatoka damu:lock1:
 
Back
Top Bottom