Mshangao!..MRI na CT scan zaharabika tena

Mshangao!..MRI na CT scan zaharabika tena

Wakitoa Bil. 3 tu, sasa hv zitafanya kazi, this is magic...!! Laana hii...!!😨😨

Oohh.. ni ilee ilee.. ooh ni ilee ilee..!!😨
 
Hilo Gundu litaondoka na Mtu. Nyie jifanyeni wajanja mtawaona wajanja zaidi yenu. Nashauri kama itagundurika nihujuma inafanywa na madaktari basi watimuliwe na vyeti vyao vichanwe
Wewe ni mpumbavu kweli? Nyie ndio mnachapwa viboko na wakuu wa wilaya then mnatulia tu! Huyo daktari aharibu Mashine ili iweje? Hivi unafahamu kuwa ni hospitali moja tu ya serikali ina mashine hizo? Kwa hiyo mamilioni ya watu wanategemea mashine hizo, hivyo ni rahisi kufa.

Cha msingi ni serikali kununua mashine hizo na kuzisambaza katika kanda zote ili kupunguza mzigo ulioko MNH.

Narudia tena, siku nyingine tumia dawa inaitwa "Haloperidol" kabla ya kupost, unameza kidonge kimoja tu. Itakusaidia!
 
Kama mna ubavu wasimamisheni kazi, taaluma adimu watalaamu adimu. Nunua CT scan na MRI mpya.

Kwani guarantee time ya magari 700 ya polisi umepita? Yarudishe semeni hili halipigi honi, hili aliwashi taa, hili reverse ngumu sana....vijisababu 700 then wawapeni mpunga wenu mnunue MRI na CT Scan

Hakuna maandamano tena rais Magufuli anatimiza wajibu wake ipasavyo....ingawa bado hatujasikia kauli yake pale wanyonge waliponyongwa na wasiojali
 
Yaani pale labda kuna anayeingia usiku na kuchokonoa mambo, haiwezekani kabisa.

Wafanya kazi wa pale wanawajibika na hii imekuwa ikiwarudisha nyuma miaka nenda rudi.

Inasikitisha lazima kuna lililo nyuma ya pazia kwa kweli.
 
Tuweni wazalendo wandugu lasivyo hata tuongozwe na malaika hatutasonga mbele
 
Ukweli hizi machine ni majipu. Kwani wafanyakazi wanakula dili na makampuni za maintenance. Wanareport machine zimeharibika lakini si kweli. Fundi hakija kutengeneza wanagawana hela za service na spare. Nimeona michezo kama hii sana kwenye office za serekali, kwenye machine za air condition na printer.
Kutatua hili tatizo machine za hospital zikodishwe kutoka kwenye makampuni binafsi ambayo yatakuwa responsible kufanyia matengenezo na huduma nyingine. Madaktari au hospital zijishuhulishe kutoa huduma kwa wagonjwa tu.
 
Tunaposema mabadiliko ya kweli watu walifikiri ni push ups na wimbo wa CCM mbele kwambele!, we need real chance!
 
Awamu ikiyopita inahusika.

Ulimboka alilisemea sana hili la uchakavu na uhaba wa vIfaa tiba kwenye mahosipitali yote Tanzania.

Sina haja ya kuendelea zaidi ya hapa. You know the REST!
You know how Escrow... how Downs ..how we used to travel you know.. you know ..
 
Magufuli uliambiwa kama unataka mabadiliko hama chama ukawadharau waliokushauri..sasa na wewe isome namba saivi umekua mpolee..na buhohela hana soko tena
 
Hzo mashine ztakuwa za dili, maana kla cku majanga tu..za private mzigo km kawa..!!
 
Back
Top Bottom