jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,950
- 29,532
Hebu tuwe honest kidogo...hizi fujo wanazozifanya kina Mdee,Mnyika,lema na Bulaya wanapokuwa bungeni huwa zinatokea kwenye vikao vya ndani vya chadema?
Laiti hizi fujo wanazofanya bungeni wangezifanya ndani ya chama nini kingetokea?
Kwa nini hawatumii nguvu na vurugu kuhoji magumashi ya Mwenyekiti mfano...uhusika wake na madawa ya kulevya,sex scandals,ukwepaji kodi na kuhongwa fedha na upendeleo kwa baadhi ya wanachama?
Kwa nini hawatumii nguvu na vurugu kuulizia matumizi ya ruzuku ambapo hata ujenzi wa ofisi umeshindikana?
Hii hulka ya vurugu ni pale tu wanapotoka nje ya nyumbani kwao????
Karibuni kwa mjadala [HASHTAG]#TeamKK[/HASHTAG] aka Team kufa kunoga