K Matata, unaweza ukasahau jina lako, haha hahah Wanyamwezi watamu sana. K MatataNilitaka kusema waaaoooo Bujiiii heeeeh!!
Kumbe Buji ni photographer na hao ni wateja waliomsumbua location za kupiga picha halafu hawataki kulipia na kuchukua picha zao.
Matata K.
Miss you too babaa
.Majukum ya ndoa yamenikaba
Miss you too babaa.Majukum ya ndoa yamenikaba
![]()
Hongera kwa kufanya maamuzi magumu. Kizuri mtu hula na nduguye
View attachment 1196683
uje ulete dhawadi sasa.
Ilijibu mapema?![]()
Sante Babu,ila mie ndoa yangu ni ya mke na mme mmoja tu.Mitara hapana nitakufwa na wivu.


haya maneno ya khanga babu hata hayana uhalisia,wacha kunirusha roho mie.
Aahahahahahahaaa Babuuu, hiyo inaitwa unapata utamu huku unateketea eeheheheheheee.
haya maneno ya khanga babu hata hayana uhalisia,wacha kunirusha roho mie.