Mshana Jr nisaidie

Mshana Jr nisaidie

[emoji23] [emoji115] I know[emoji120]

Mkuu majuzi kati vibaka waliingia home wakapitia vitu vyangu kibao ikiwemo na Laptop
Wakati huo mimi nilikua safarini, baada ya siku 3 kurejea nikakuta vitu vipo chini juu juu chini,lkn hapakuvunjwa kufuli wala kupasuliwa dari
Hapo hapo nikajua huu mchezo utakuwa umechezwa na mtu mwenyeji tena anaenifahamu, kwasbb hakuna mwizi akachagua cha kuiba huwa anasomba kila kitu lkn kwangu vitu vilichaguliwa ndio vikabebwa
Plan ‘B’- Nilienda kwa bibi uzuri nikakuta anamgeni wake(Master) ndio anakama siku2 hapo
Mshana eeehhh,!!!nilipewa kitu cha kunywa ila nikaambiwa tatizo lake hii ukinywa stim yake ni kama umekunywa laga 10, kijana utaweza??
Doohh,nikamambia masta unauliza rangi ya mkaa??yaani kwanza napata stim halaf nikiwaka ndio namwona mwizi wangu hii raha ilioje,, naongea hayo huku nikimiminiwa ktk kikombe kidogo cha kahawa
Baada ya kunywa kama dk15 ivi nikaambiwa nikakae juani huku nikiangalia mawingu bila ya kupepesa macho,
Ebanae sikia ya kuhadisiwa tu kaka,muvi niliiona mimi bana,kwanza maruweruwe kibao nliona kisha cheche kama mtu anachoma welding baada yahapo kaka screen ikafunguka clear kabsaaa, wakati nimeduwaa kwa bumbuwazi kuangalia vile ni mtu ambae sikumtegemea nae muona pale
Master akasogea ubavuni mwangu na kuniambia umemwona eenhh!!haya msemeshe asogee kwa karibu ili umchkue maelezo,nikamwita akasogea kisha nikamambia nipeleke alipouza vitu vyangu
Usimuulize umeuzia wapi kwasbb haongei,nlivosema nipeleke kudadadeki nikaona mtaa alipoenda hadi duka la mshikaji wangu ndipo alipouzia[emoji1321]
Kaka hio kitu ni nowmaaa,

Adhabu yake sasa niliopata mimi baada ya kutoka hapo..daaaah ile bana mahisi stim sio ya laga10 labda cret 3 *****[emoji13]kwasbb nililewa siku 2 hoi kila nikitoka nikikutana na jua tu nawaka stim inaanza upya joints kama nimekunywa redpot wine, yaani kama nimipigwa virungu na mgambo[emoji1321]
Mmhhh!! Bado nililalamika ati kakikombe kakahawa kadogo saana siwezi pata stim[emoji1321]
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mshana usiku wa kuamkia juzi nimeota ofisi ya kazin kwetu imeungua na moto na niliona kuna mtu anaichoma baada ya kumwagia petrol naomba majibu tafadhali
Ndoto nyingi huja kinyume.. Hiyo ni baraka
 
Avatar na jina lako vimenipa mfadhaiko bibie.
425910.jpg
 
Back
Top Bottom