Hivi kwa mfano ikatokea Mshana Jr, Davinc, Mzizi mkavu, Rakims,kenzy,deadboy, Lifecoded, The bold, Zitto,Pasco, Kiranga na baadhi niliowasahau siku wakakaa meza moja hivi hawawezi kufanya kitu kweli..? Yani kipindi hicho wote wakasahau kubishana kuhusu asili ya Yesu, kuhusu mke wa kwanza wa Adam, Kuhusu waisraeli asilia, kuhusu alien wapo au hawapo na mambo kadhalika nakadhalika... Wakaamua siku ngoja na sisi tukae sasa tufanye kitu chetu..