Mshana Jr Mambo!

Mpaka sasa sioni dalili ya mbuzi kuchinjwa!...kumbe hadi walozi wanaweza kuwa domozege![emoji124]
 
Nipe ratiba ya hizi furaha zijazo tuyajenge sasa

Tataaaaa!
Picha ndio linaanza, kwa mbali wimbo wa Kuch kuch hou tae unaanza sikikikaaa, tunaanza kuona bustani ya maua na mdada aliyevaa ushungi mwekundu ukipepezwa na upepo...
😊😊😊😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…