Mshana jr akiwa kazini

Tunahitaji vijana kama ninyi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
...dadeki izo pembe3 utaambiwa 150 moja...
 
Na hiyo biashara je ni ya mshana jr? Kama ni ndio, haiwezi kuwa biashara yake maana sioni hata samaki mmoja wa kukaanga.

Mpaka tunaingia mitamboni kutuma picha hii samaki walikua wameisha mkuu...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…