maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,505
- 6,439
Akitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF...na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) kuweni makini na anayoyasema
2) na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3)mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4)na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5)Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Mmmmh kila unachosoma kinakubadili?
Kwani wewe ulilazimishwa kufuatilia thread zake? Acha umbea huo.
Mbona sijawahi kuona akifundisha hayo mambo zaidi ya kuelezea maisha aliyopitia na kuyashuhudia kwenye maisha yake.
Sio lazima kikubadili...ila kuna wanaoamini kila kitu
Something must be wrong into their heads!!!!
maishapopote kwanza nikupongeze sana kwa kutoa dukuduku lako ikiwa ni mtazamo wako kwangu kuhusiana na mada zanguAkitumia elimu yake aliyoipata nchini Afrika kusini ya Budhisim...na mchanganyo wa vitabu mbalimbali vya kishetani...ujuzi wake katika meditation na ulozi...sasa amekua kinara katika mada zote za kishetani hapa jukwaani JF...na kwa kuwa Jf kila mtu anavutiwa na mada hizi za kutisha na kustaajabisha...basi amepata wafuasi wengi akiwafundisha na kuwaelewesha na polepole kuwaelekeza namna ya kufanya...si tu katika meditation bali pia katika vitu hatari kama viapo vya damu,uzuri wa shetani,eti lucifer sio shetani...na mengine mengi ambayo amekua akiyatoa....
1) kuweni makini na anayoyasema
2) na muwaze na kuamua ni kwa faida ya nani mnajifunza haya
3)mkajiulize je Mungu wenu anafurahia hayo?
4)na kwann watu wengi mnaotaka sana kujua haya ni wakristu?
5)Muogopeni mno...anataka kuwapotosha imani yenu
Hayo ni maoni yangu..
Nitarejea :bounce::roll:
Dini zipo toka kitambo, mashetani yapo toka kitambo, wachawi wapo toka kitambo, sijawahi kuona mshindi! Wote wanalingana nguvu, kama yupo bingwa basi awa angamize wengine watu wake wasiteseke!
Ila kama hamna bingwa basi tulia! Huwa naona mafundisho yakisema Oooh kuzini ni dhambi ila kwa sasa kuzini kumeshika moto kuliko hata ushirikina!