....bora kuku maana yeye ikifika jioni hukumbuka anakolala, siyo nyie mliouzwa hamkumbuki hata orijino chadema ilikuwaje.Sasa wewe unachocheka ni nini kama siyo ushamba, mshamba kiazi tu wewe!
"Vibilioni" unavijua?
Ushamba ni janga lingine kwa mshamba kama wewe...
Watu kama nyie ni "mazoba koko shamba
"
Cheki ulivyo mshamba, hata kusoma hujui!! Wapi niliandika "kuku"..?....bora kuku maana yeye ikifika jioni hukumbuka anakolala, siyo nyie mliouzwa hamkumbuki hata orijino chadema ilikuwaje.
kwhyo mkuu mshamba anatokana na neno shamba/kijijini ?Kwa maana ya asili mshamba ni mtu yeyote anaetoka kijijini(wakati huo kijijini palijulikana tu kwa kilimo-mashambani) na kufika mjini(kusiko na mashamba),kwa maana ya kisasa mshamba anaweza kuwa mtu yeyote ambae kwa wakati fulani anaonekana kutojua kitu fulani.
Wewe ni mburula!...Basi wewe siyo kuku. Jaribu kufanya hii hisabati: @Freyzem=0/chura, yaani ukitafuta differentiation ya Freyzem unapata zero na chini yake ni chura.
hapo mkuu unaweza ukawa uko sahihiMtu kutoka kijijini anaweza kuwa na limited exposure lakini aimaanishi akishapata experience atabaki vile vile.
Binafsi nachukulia mtu mshamba ni yule anaejifanya anajua asichokijua, awe NY or Dar or Lindi ni mshamba tu.
Anakurupuka bila kujipanga utafikiri kalewa cha Mama wa Kwa Mfuga Mbwa wakati ana Ph.D ya mezani ya Chemistry kutoka Choo Kikuu Cha Manzese.duuh! mkuu maghufuli mshamba wa namna gani hebu nipe mtazamo wako
mkuu kwhyo aliyezaliwa mjini mbona bado anaitwa mshamba kwanini useme wa kijijini tuwewe mshamba ni mtupori, yaani aliyetoka kijijin {mashambani} kuliko na uchache wa mambo ya kielimu na ukisasa wa mambo, na vitu ving vya kidhungu kidhungu, ambapo mtupor huyo akifika mjini meng atakayoyakuta ataanza kuyashangaa na haelewi jins ya kuvitumia.
Nb\1.tafuta kamusi ya kiswahili kwa kiswahili
2.Sikiliza wimbo wa prof jay uitwao "Nikusaidiaje"