Mshahara ya NIDA (data entry)

jino kwa jino

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
783
170
wana jf naomba kujua hawa jamaa wanalipa sh ngapi kwa hizi kazi za data entry zimeanza mwezi wa kwanza 2012
 
Mbona unatuzingua kama umeitwa nenda kafanye kazi .
{"umeomba kazi umepewa kazi usione kazi kufanaya kama ukitaka kupata kazi acha kazi uone kazi kutafuta kazi"
 
Ulipokuwa unaajiriwa hukujuwa mshahara wako utakuwa kiasi gani? Mbona unataka kusumbua watu humu Jf. Hebu ficha upumbavu wako

hapana mkuu, kuna dogo kapata yuko mwanza wamempigia simu ila hawajamwambia mshahara
na sasa anafanya biashara(ndogo ndogo) mwanza anataka kujua alinganishe faida ya biashara zake na huo mshahaea wa nida ajue kama apande basi aje au lah
 
zi kupewa kazi hapo na hata kama wamekupa yaani humalizi wiki mbili.Mhahara ndo nini? unaandika as if unaogea nje bana...tulia !!! halafu mnaaanza kulalama oooh HR ananitaka kanifukuza kazi kuandika kwenyewe hujui ..Mhahara? lol
 
mkuu mbona inasomeka vizuri au leo umeamkia calabash
 
there is no specific salary; ni juhudi zako, idadi ya fomu utakazo fanikisha kuingiza kwenye computer ndiyo ita determine salary yako.
 
Sasa kama kapigiwa simu kaitwa, si aende akajadili mkataba? Ama awapigie na kuwauliza maswali yake? Malipo yanategemea na vigezo ulivyo navyo na uzoefu pia.
 
hapana mkuu, kuna dogo kapata yuko mwanza wamempigia simu ila hawajamwambia mshahara
na sasa anafanya biashara(ndogo ndogo) mwanza anataka kujua alinganishe faida ya biashara zake na huo mshahaea wa nida ajue kama apande basi aje au lah
Mshahara ni laki 4 + kidogo. Vp huyo dogo aliomba lini, maana hata mi nilipeleka application sio cku nyingi Mlinzi akutuambia interview ilikuwa jana yake na wanategemea kuchukua tena mwezi wa nne. Nahic washanimwaga, maana nilipeleka tu bila memo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom