Elf ishirini imekweda wapiHii serikali inachofanya sio fair kabsaaa kukata mshahara wa mtumishi efu 20000 ni hela nying saanaa waache kutuonea kabsaaa increment hakuna tumeridhika afu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu
Mzee sio umekatwa tozo ya Crdb ile ya kila mwanzo wa MwakaHii serikali inachofanya sio fair kabsaaa kukata mshahara wa mtumishi efu 20000 ni hela nying saanaa waache kutuonea kabsaaa increment hakuna tumeridhika afu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu
Kumbe wameanza hvyo tena?Hii serikali inachofanya sio fair kabsaaa kukata mshahara wa mtumishi efu 20000 ni hela nying saanaa waache kutuonea kabsaaa increment hakuna tumeridhika afu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu
Sijui ngoja watu wasubiri kufikia kesho
Kutokea wapi?(Jokes)😅😅😅😅Mshahara umeshaingia?
Kuwa mpole! Tumekata kwa ajili ya vile vishkwambi tulivyo wagawia mwezi hui. Kama hujapata cha kwako, basi ni bahati mbaya sana. Wenzako watakuwakilisha.Hii serikali inachofanya sio fair kabsaaa kukata mshahara wa mtumishi efu 20000 ni hela nying saanaa waache kutuonea kabsaaa increment hakuna tumeridhika afu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu
Kama unatumia CRDB basi futa huu uzi... Mana ndo tabia yaoHii serikali inachofanya sio fair kabsaaa kukata mshahara wa mtumishi efu 20000 ni hela nying saanaa waache kutuonea kabsaaa increment hakuna tumeridhika afu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu