😂😂😂😂😂Kumbe ndio maana jirani anatabasam
Wanajikatia tu bila utaratibu?Kama unatumia CRDB basi futa huu uzi... Mana ndo tabia yao
Pole mkuu ila subiri salary slip itoke kama hamna maelezo ya iyo pesa ndo ulalamike, na pia uende bank uangalie statement nadhan utapata jibu sahihiHii serikali inachofanya sio fair kabsaaa kukata mshahara wa mtumishi efu 20000 ni hela nying saanaa waache kutuonea kabsaaa increment hakuna tumeridhika afu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu
Mkiongezewa 20000 kwenye mshahara huwa mnadai nyongeza ni ndogo..kumbe kubwa!!?Hii serikali inachofanya sio fair kabsaaa kukata mshahara wa mtumishi efu 20000 ni hela nying saanaa waache kutuonea kabsaaa increment hakuna tumeridhika afu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu
Safi na wasikie sio kulilia vishikwambi alafu hawataki tukate malipo ya usafirishaji wa hivyo vishikwambiKuwa mpole! Tumekata kwa ajili ya vile vishkwambi tulivyo wagawia mwezi hui. Kama hujapata cha kwako, basi ni bahati mbaya sana. Wenzako watakuwakilisha.
Nyumbani kwakoKutokea wapi?(Jokes)😅😅😅😅
Njoo uchukueNyumbani kwako
mimi sijapata mpaka muda huuKumbe mshahara tayari
Ivi kwanini Wwngine wapate Mshahara wenginebado mpk muda huu.Hii serikali inachofanya sio fair kabisa kukata mshahara wa mtumishi elfu 20,000 ni hela nyingi sana waache kutuonea kabisa increment hakuna tumeridhika halafu unaamka unakata 20 kama sio uonevu tu.