Mshahara wa September vipi watumishi?

Mshahara wa September vipi watumishi?

Wewe ze gunners acha masihara na maisha ya watu
Haha Mi nakwambia we utaskia matamko yao mwisho wa mwez ukifika..
Serikali haiko serious na WATUMISHI..
kuhusu Increments na madai yatabaki kuwa Kama porojo tuu.

Wenye mamlaka wakiulizwa maswali BUNGENI wanatoa Majib ambayo hayafanan na swali lililoulizwa..

Ila Ngoja tuone mana walisema mwez September ndo utakuwa mwaka wa fedha unaanza Yaan 2016/2017 so Mtumish kuwa na Imani
 
Back
Top Bottom