mapinduzi daima
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 1,724
- 2,708
Wakuu naomba kufahamu scale za sasa PGSS 10, 11 na 12
Muungwana Freedom... kiwango cha kuanzia unapoajiriwa kwa MARA YA KWANZA NI KAMA IFUATAVYO:
PGSS 10 = 892,000 PGSS 11= 1,017,000 PGSS 12= 1,159,000
Hii ni kabla ya kodi na michango mingine ya bima na mifuko ya jamiii kukatwa.
[TABLE="width: 98"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 98"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]