Mshahara wa PGSS 12

Mshahara wa PGSS 12

Sakoyo

Senior Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
135
Reaction score
7
Wakuu salam, naomba kujua mshahara wa PGSS 12 ni kiasi gani cha pesa..
 
1.2mil mkuuu
kila la kheri!!!!
Nashukuru sana nimekupata mkuu..
 
Sasa ivi imeongezeka ni 1.6mil,kuanzia July 2012. Hongera bhana!
 
Sasa ivi imeongezeka ni 1.6mil,kuanzia July 2012. Hongera bhana!

Acha uongo wewe, mbona unamdanganya mwenzio kama jambo hulijui kaa kimya mkuu. Hiyo 1.6 Million ni PGSS 15 na take home ni kama 1.1 Mil, So you can imagine if Pgss 15 ni hiyo 1.6 Mil, then Pgss 12 itakua below that au above that rate? and how much will be take home rate??
 
Kijana kapitie vizuri Salary scale ambazo ni current!
 
Its impossible kuwa 1.6mill alafu upate 1.1 take home. Fanya 1.6mill 10% yake ni laki 1 na elfu 60 toa 1.6mill inakuwa 1.46 mill ndio take home.

Wewe mbona unapigia tu 10%? Kwanza hiyo 10% ni ya nini? Hujui kupiga hesabu za mishahara wewe!! Tafuta jedwali la PAYE toka TRA, halafu kumbuka kuna social security ambayo nayo mwajira anachangia kutegemea na mfuko husika. Sasa ukitoa vyote hivyo lazima itashuka. Hivyo wewe utakuwa umechemka vibaya sana na yule ndugu alyesema 1.1mil take home anaweza kuwa yuko sahihi!

Usidandie train kwa mbele!!!
 
Its impossible kuwa 1.6mill alafu upate 1.1 take home. Fanya 1.6mill 10% yake ni laki 1 na elfu 60 toa 1.6mill inakuwa 1.46 mill ndio take home.

Mshahara ambao haukatwi kodi ni wa Raisi peke yake...... ian007 umeondoa makato ya pensheni lakini kodi (PAYE) hujaondoa; vipi unafanyia kazi kanisani?
 
Last edited by a moderator:
Its impossible kuwa 1.6mill alafu upate 1.1 take home. Fanya 1.6mill 10% yake ni laki 1 na elfu 60 toa 1.6mill inakuwa 1.46 mill ndio take home.

Uko nchi gani mkuu na mimi nihamie huko, au ni private sector?
 
Back
Top Bottom