Mshahara wa Mwezi wa 7 kimya

Bado saccos
 
Haka kamshahara kwa mwezi huu kalichelewa sana ngoja na mimi nikabembeleze basi
 
Hivi mshahara ushatoka! Mbona mimi sjapata au wanaweka kwa makundi makundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…