Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,100
- 54,322
Analipa anakopa tenaWanaosubili hawana hela hao wengi zinaishia kwenye madeni
Analipa anakopa tenaWanaosubili hawana hela hao wengi zinaishia kwenye madeni
Sasa ndio nini si shida tu hapoAnalipa anakopa tena
Sasa wafanyejeSasa ndio nini si shida tu hapo
Kuwa mwangalifu, January huwa inakuja na majanga mengi sanaTumezoea mshua alikua anatoa 19th. Mazeri anataka atoe mzigo 24 usiku nini?
Maisha ya watu hayakuhusu mzee usikute ata wewe unataka information kijaja kupitia iyo comments yakoWatumishi tafuteni other sources of income..muache kulialia hovyo.
#MaendeleoHayanaChama.
Roho ya kichawi mbaya sana.Watumishi tafuteni other sources of income..muache kulialia hovyo.
#MaendeleoHayanaChama.
Mbona hata ule wa mwezi wa 11 tayari? Wewe uko wapi?Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari.
Tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.
Hakuna shida kwani bado anakopesheka.Analipa anakopa tena
Kuajiriwa pia ni biashara baina ya mwajiri na mwajiriwa.Watumishi tafuteni other sources of income..muache kulialia hovyo.
#MaendeleoHayanaChama.
MSHAHARA WA MWENZIE WA 20 AU 12?!Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari.
Tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.
Lakini kwasasa milo mitatu anapata, analala pazuri na anavaa vizuri!Kuna wakati mtu hukuwa na mshahara maisha yakasonga,sasa hivi una kipato ila kikiingia tu,tareh 10 chaliii.
"Hayo ni mambo ya kitaaramu sana mwanangu". Wanaita consume as you earn.
[emoji23]tutaweka mkiwa kanisani kwenye mkesha,muwe makini na simu zenu siku ya tarehe 24 hasa saa 11-12 usiku.
😁😁😁😁Tumezoea mshua alikua anatoa 19th. Mazeri anataka atoe mzigo 24 usiku nini?
Mnyororo wa madeni.Analipa anakopa tena
Subiri nanyi mtapata