Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
821
Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari.

Tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.
 
Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari.

tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.

Hongera sana Mkuu kwa uhakika wa fedha kwa mwezi.

Si walisema kwamba mishahara yenu huwa haizidi tarehe 24?
 
Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari.

tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.
Subiri jumatatu
 
So unaishi kwa advance salary mkuu? Salary ikisoma unapiga advance salary hapo happy siyo?
Maisha ni kuchagua
 
Mshahara wenyewe una vidonda tumekopa kila benki bado mtaani vimeo kila mahari.

tupeane taarifa ukitoka tu huu mshahara ili tupunguze ukali huu wa maisha tukalipe vimeo vya watu tukope tena maisha yaendelee.
Mshahara wa kampuni gani huo unadharirishwa hivyo? Kama hauutaki si uondoke kwenye hiyo kampuni.
 
Mkuu mimi NMB leo wameniamsha na ujumbe kuwa kiasi cha Tsh.......kimeingizwa ktk acc yako inayoishia namba.........Nahisi ni mshahara huu unaoulizia. Lakini wakati mwingine mzigo huingiaga kimya kimya hivyo nakushauri ucheki salio lako.
 
Mkuu mimi NMB leo wameniamsha na ujumbe kuwa kiasi cha Tsh.......kimeingizwa ktk acc yako inayoishia namba....
.....Nahisi ni mshahara huu unaoulizia. Lakini wakati mwingine mzigo huingiaga kimya kimya hivyo nakushauri ucheki salio lako.
Unawapa watu pressure tu mbona hiyo hela haipo au upo kada gani
 
Back
Top Bottom