Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

Mshahara wa mwezi wa 10 umetoka?

Motivesheno spika bado hawajaja kukushauri uache kazi uanze kilimo Cha matikiti ili usisubirie mshahara?
 
Kuna wakati mtu hukuwa na mshahara maisha yakasonga,sasa hivi una kipato ila kikiingia tu,tareh 10 chaliii.

"Hayo ni mambo ya kitaaramu sana mwanangu". Wanaita consume as you earn.
 
Jaman mshahara wa mwezi wa 12 vipii?? Maana tushazoea ndo tarehe zenyewe hizi
 
Tumezoea mshua alikua anatoa 19th. Mazeri anataka atoe mzigo 24 usiku nini?
 
Back
Top Bottom