M matfor tungs Member Joined Oct 18, 2012 Posts 69 Reaction score 9 Jun 28, 2013 #61 acha uongo kijana!!wenzio tushachukua mda sana na karibu salio halisomi,pia ni wengi ambao tayri wamechukua!!sijui wewe upo serikali ipi!!
acha uongo kijana!!wenzio tushachukua mda sana na karibu salio halisomi,pia ni wengi ambao tayri wamechukua!!sijui wewe upo serikali ipi!!
The Teacher Senior Member Joined Feb 2, 2013 Posts 176 Reaction score 82 Jun 28, 2013 #62 mbna wengine toka tar. 26 acc zilishasoma
N nsalu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 1,237 Reaction score 1,282 Jun 28, 2013 #63 Shana Boy said: Taarifa za kuaminika kutoka hazina zina eleza kuwa kwa wafanyakazi wa serikali kama haujapata mshahara mpaka leo tar 26/6 basi uwezekano wa kucheleweshewa mshahara hadi tar 5/7 ni mkubwa sana,kwahiyo mnaombwa kuwa wavumilivu Click to expand... siyo kweli mbona sisi Wizara yetu tumeshapata toka juzi jumatano.
Shana Boy said: Taarifa za kuaminika kutoka hazina zina eleza kuwa kwa wafanyakazi wa serikali kama haujapata mshahara mpaka leo tar 26/6 basi uwezekano wa kucheleweshewa mshahara hadi tar 5/7 ni mkubwa sana,kwahiyo mnaombwa kuwa wavumilivu Click to expand... siyo kweli mbona sisi Wizara yetu tumeshapata toka juzi jumatano.