Huwezi kusoma diploma ya ualimu kwa cheti cha O-level tu.Walimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
Milioni 2.7, posho ya nyumba 500,000/-, usafiri 300,000/-, umeme na maji 200,000/-
Jumla milioni 3.7
Wivu.thubutu
ilikuaga enzi hizo baba ww pata Div 4 uone kama unaenda ualimuWalimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
bhaelezeeKwa siku hizi ni tofauti kuna jamaa kibao tulisoma nao wametoka na Division II,I wameenda Education Bachelor
Diploma ya afyaWalimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
yani kiukweli diploma ya afya wanachukuaga failures nyingi sana yaani eti D tatu ktk PCB na D ya EnglishDiploma ya afya
Four passes in non religious subjects
Diploma ya ualimu
CSEE and ACSEE with principle in one teaching subject and one S.
Hizo in sifa za kusoma diploma za afya na ualimu kwa mujibu was NACTE.
Nani kafeli hapo?
Hii no hoja mpyaHalafu hii Taaluma kwa kupenda ukubwa Head Master mwite Mwalim badala ya Mkuu uone Afisa ngazi ya wilaya muite Mwalim uone. Mbona Afya kuna Daktari awe boss asiwe boss aidha Muuguzi anaitwa Sister fulani regardless Elimu au wadhifa alonao
sio kweli mbona wengi tu wanabaki na hicho cheo cha mwl....hadi akina Mwl Nyerere ....Mwinyi,Majaliwa kasimHalafu hii Taaluma kwa kupenda ukubwa Head Master mwite Mwalim badala ya Mkuu uone Afisa ngazi ya wilaya muite Mwalim uone. Mbona Afya kuna Daktari awe boss asiwe boss aidha Muuguzi anaitwa Sister fulani regardless Elimu au wadhifa alonao
Hakuna watu wana dharauliwa hapa bongo kama maticha
Wana dharauliwa kweli, ila bila wao maarifa yangekuwa hafifu sana
Zaid ya 40% waajiriwa serikalini TZ ni waalimu
TGTS H ni pesa ngapiDiploma=TGTS C = 535,000/=
Degree = TGTS D = 716,000/=
Baada ya miaka 4, Huyo wa C atapanda D na D atapanda E = 940,000/=
Wataendelea kupanda hadi mwisho TGTS H.
Bila shaka nimejibu.
wanakula maisha gan? kumbka hyo n basic salary bado hajakatwa kodi(PAYE),Nssf,CWT,NHIF,Loan board...I concur. Ahsante. Kumbe walimu wanakula maisha kimtindo.
kuna rafki angu mwalimu anadai kua anabaki na laki 4 tuwanakula maisha gan? kumbka hyo n basic salary bado hajakatwa kodi(PAYE),Nssf,CWT,NHIF,Loan board...
piga hesabu hapo akikatwa anapokea take home sh ngapi?
hii mifumo ya nchi ina tatzo somewhere sio bure mana haiwesekani mwalimu aliesoma chekechea, miaka saba primary, akasoma miaka sita secondary, akasoma mitatu chuo (jumla miaka 17) yaan mda wote huo alikuwa anahangaika ili aje alipwe laki 4.kuna rafki angu mwalimu anadai kua anabaki na laki 4 tu
Yes mwalimu wa degree anapokea laki NNE yaani 4k baada ya makato.
Mungu saidia walimu wetu wanahali ngumu.
Makato ni mengi ila tatizo ni HESLBkuna rafki angu mwalimu anadai kua anabaki na laki 4 tu
Yes mwalimu wa degree anapokea laki NNE yaani 4k baada ya makato.
Mungu saidia walimu wetu wanahali ngumu.