hemedis grandson
Member
- Feb 12, 2020
- 21
- 26
AhsanteDiploma ni TGTS C
Degree ni TGTS D
hiyo sio mishahara ya walimu bali ni mishahara ya watumishi wa umma wanao ajiriwa kwenye halmashauri
Juzi wameongezewa tena nw umefika million 6 na nusu ChiefMwalimu wa secondary anapata milioni nne na laki tano mkuu.
Juhudi za Awamu ya 5Juz wameongezewa tena nw umefika million 6 na nusu Chief
Mbona mimi sijataka kiwango cha fedha.Mwalimu wa secondary anapata milioni nne na laki tano mkuu.
Milioni 2.7, posho ya nyumba 500,000/-, usafiri 300,000/-, umeme na maji 200,000/-
Jumla milioni 3.7
Diploma ni TGTS C
Degree ni TGTS D
Hiyo sio mishahara ya walimu bali ni mishahara ya watumishi wa umma wanao ajiriwa kwenye halmashauri.
Kwa nn????Hakuna watu wana dharauliwa hapa bongo kama maticha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnanivunja mbavu nyie watuLeo imepanda ni million 34
Ni kweli kwa mpaka 5 ndiyo hiyo pesaLeo imepanda ni million 34
ndio,watu wa sheria na masomo ya sayansi,sasa hiyo Tgs E ni sawa na laki 8 na,sasa huo nao ni mshahara au matesoSio kweli kuwa watumishi wote wanaoajiriwa Halmashauri rank za mishahara ni kama ulivyosema.
Unajua kuwa kuna baadhi ya idara degree anaanzia TGS E?
Hakuna watu wana dharauliwa hapa bongo kama maticha
samahani ticha sisi wengine tumeishia la tatuWhat exactly make you to think lik dat? you might've reason tell us plz it might help us........
I'm not a teacher but nimeona kazi kubwa iliyo fanywa nao with grt impact kwenye hii nchi na dunia nzia perhaps all professions ni kazikubwa ya waalimu .....if you find someone talk like that its just like ajielewisamahani ticha sisi wengine tumeishia la tatu
nkuulize swaliI'm not a teacher but nimeona kazi kubwa iliyo fanywa nao with grt impact kwenye hii nchi na dunia nzia perhaps all professions ni kazikubwa ya waalimu .....if you find someone talk like that its just like ajielewi