Alvin Moon
Member
- Oct 2, 2017
- 9
- 3
eti naomba kuuliza aliyemaliza form 4 akaenda college kusomea nursing certificate mwaka wa kwanza mwaka akapiga diploma then akaapply atalipwa shs ngapi?
yani baada ya certificate akapiga diploma kwa mwaka mmoja tueti naomba kuuliza aliyemaliza form 4 akaenda college kusomea nursing certificate mwaka wa kwanza mwaka akapiga diploma then akaapply atalipwa shs ngapi?
Kuajiliwa serikalini au kwa mtu binafsieti naomba kuuliza aliyemaliza form 4 akaenda college kusomea nursing certificate mwaka wa kwanza mwaka akapiga diploma then akaapply atalipwa shs ngapi?
unaweza ukanifafanulia pande zote mbiliKuajiliwa serikalini au kwa mtu binafsi
Mmmmmmmh sure mkuu?Diploma laki 6 kama sikosei
680,000Mmmmmmmh sure mkuu?
Dip Laki6
Certfcate Laki3.5 hadi 4
680,000
Baada ya makato ni 547000
Mkuu nina ndugu yangu kasomea diploma ya unesi,vipi una access ya kupata nafasi unisaidie mkuu mana yupo private hospital kuna shift za usiku kitu ambacho yeye kinamshinda sema anafanya hivyo hivyo coz hana jinsiBaada ya makato ni 547000
Government hospital hakuna shift za usiku?Mkuu nina ndugu yangu kasomea diploma ya unesi,vipi una access ya kupata nafasi unisaidie mkuu mana yupo private hospital kuna shift za usiku kitu ambacho yeye kinamshinda sema anafanya hivyo hivyo coz hana jinsi
Dah sina fursa hazijanijia kwa saaa na yeye hataki shift za usiku wakati anakula kiapo hakujua alikuwa anaapa kwa sababu zipi??Mkuu nina ndugu yangu kasomea diploma ya unesi,vipi una access ya kupata nafasi unisaidie mkuu mana yupo private hospital kuna shift za usiku kitu ambacho yeye kinamshinda sema anafanya hivyo hivyo coz hana jinsi
Nafikiri atakuwa anataka gvt hospital mana hata mm hyo reason yake sikumuelewa na haikuniingia akiliniDah sina fursa hazijanijia kwa saaa na yeye hataki shift za usiku wakati anakula kiapo hakujua alikuwa anaapa kwa sababu zipi??
Mwambie afanye kazi hakuna kazi rahisi muhim anapata ujira wake
Nafasi za ajira zimekuwa chache kwa kuwa tangu mwaka 2015 kada ya afya ipo mtaani walioajiriwa wachache
Nadhani asubiriNafikiri atakuwa anataka gvt hospital mana hata mm hyo reason yake sikumuelewa na haikuniingia akilini
Aliapply bt alichelewa sana mana hakupata taarifa mapema so hakufanikiwa kupata nafasiNadhani asubiri
Govt hospital lazima uajiriwe kama ni kwenye shirika au halmashauri
Na lazima uombe sina hakika kama baada ya majina yalitoka juzi kama watatangaza tena nafasi kipindi hiki labda kuanzia mwakani
Kuna majina yaliongezwa juzi aangalieAliapply bt alichelewa sana mana hakupata taarifa mapema so hakufanikiwa kupata nafasi
Ok mkuu,have a marvelous dayKuna majina yaliongezwa juzi aangalie
Ndugu yangu idadi ya waliopo inazidia idadi ya wanaoitwa avumilie kwanza na hapo alipojishikiza kwa sasa
Sema tu ni demu wako na unahisi akienda shift ya usiku docta anakusaidia kumgegedaMkuu nina ndugu yangu kasomea diploma ya unesi,vipi una access ya kupata nafasi unisaidie mkuu mana yupo private hospital kuna shift za usiku kitu ambacho yeye kinamshinda sema anafanya hivyo hivyo coz hana jinsi