Mshahara wa mtu mwenye Diploma ya nursing ni kiasi gani?

Alvin Moon

Member
Oct 2, 2017
9
3
eti naomba kuuliza aliyemaliza form 4 akaenda college kusomea nursing certificate mwaka wa kwanza mwaka akapiga diploma then akaapply atalipwa shs ngapi?
 
Baada ya makato ni 547000
Mkuu nina ndugu yangu kasomea diploma ya unesi,vipi una access ya kupata nafasi unisaidie mkuu mana yupo private hospital kuna shift za usiku kitu ambacho yeye kinamshinda sema anafanya hivyo hivyo coz hana jinsi
 
Dah sina fursa hazijanijia kwa saaa na yeye hataki shift za usiku wakati anakula kiapo hakujua alikuwa anaapa kwa sababu zipi??

Mwambie afanye kazi hakuna kazi rahisi muhim anapata ujira wake

Nafasi za ajira zimekuwa chache kwa kuwa tangu mwaka 2015 kada ya afya ipo mtaani walioajiriwa wachache
 
Nafikiri atakuwa anataka gvt hospital mana hata mm hyo reason yake sikumuelewa na haikuniingia akilini
 
Nadhani asubiri

Govt hospital lazima uajiriwe kama ni kwenye shirika au halmashauri

Na lazima uombe sina hakika kama baada ya majina yalitoka juzi kama watatangaza tena nafasi kipindi hiki labda kuanzia mwakani
 
Aliapply bt alichelewa sana mana hakupata taarifa mapema so hakufanikiwa kupata nafasi
 
Kuna majina yaliongezwa juzi aangalie

Ndugu yangu idadi ya waliopo inazidia idadi ya wanaoitwa avumilie kwanza na hapo alipojishikiza kwa sasa
 
Mkuu nina ndugu yangu kasomea diploma ya unesi,vipi una access ya kupata nafasi unisaidie mkuu mana yupo private hospital kuna shift za usiku kitu ambacho yeye kinamshinda sema anafanya hivyo hivyo coz hana jinsi
Sema tu ni demu wako na unahisi akienda shift ya usiku docta anakusaidia kumgegeda
 
Back
Top Bottom