Mshahara wa Mbunge wa Tanzania ni shilingi ngapi?

mshenzi, kama hujui si utulie. Halafu ww jamaa unafanya kaz kweli maan kila nikifungua jf nakutana na coments zako tu tena za hovyohovyo tu! Nan anakulisha wewe?

Jimbo lako ni lipi Mheshimiwa? Naona unatoa povu😤😤😤😤 hahahahaha tulia Mheshimiwa lol😀😃😂 😂
 
Hivi mbuge wa viti maalum anapewa hela ya mafuta? Maana kwa ufahamu wangu yale mafuta ni kwa ajili ta kuzungia jimboni.
 
Ukijumlisha hela yote inayoenda kwa mbunge si chini ya 12m! Hawa wetu hatuwezi wakalinganishwa na wabunge wa Kenya, yale majamaa yanachapa kazi bwana! Hawa wa kwetu wanastahili kupunguziwa haya malipo.
 
mshenzi, kama hujui si utulie. Halafu ww jamaa unafanya kaz kweli maan kila nikifungua jf nakutana na coments zako tu tena za hovyohovyo tu! Nan anakulisha wewe?

Uyu laki si pesa ndo matapeli wa apa mjin wanaishi kwa udalali tuuu
 
Mbunge halipwi mshahara bali analipwa posho tuu, kwa sabanu hiyo sio kazi ya kudumu ni miaka 5 unagombea tena kwa hiyoo ktk kugombea unaweza kupata au kukosa
 
Back
Top Bottom