Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Mh! Calculation zako ni sahihi kweli! Coz kwa basic ya 1,235,000 take home ni 890,250.
Na mie nimeshtuka hizo caluculation zake... mmmh
Mh! Calculation zako ni sahihi kweli! Coz kwa basic ya 1,235,000 take home ni 890,250.
Kwani we unafanya kazi ili upewe tuzo?
Hellow wana jamiiforums
Samahani naombeni anaefaham mshahara wa loan officer (home taking) CRDB kwa degree
Naam mkuu zanzibar tunahitaji watu kama nyie kwani wanafunzi tunahitaji kujitegemea-naam wengine hatujawahi kuajiriwa lakini tunalima ba tunavuna/tunafuga mifugo&ukituona tupo ok tena naam mimi mwenyewe naingiza pesa ndefu/vijana tuache uvivu laah sivyo maandamano hayataisha kamweeeeeeeeeeeeeeeeee....
Tuipende nchi kwa kufanya kazi kwa bidiii zaidi &kuweka chachu ya maendeleo......