Ntangilege
Member
- Aug 4, 2013
- 25
- 3
Hellow wana jamiiforums
Samahani naombeni anaefaham mshahara wa loan officer (home taking) CRDB kwa degree
Samahani naombeni anaefaham mshahara wa loan officer (home taking) CRDB kwa degree
ellow wana jamiiforums samahani naombeni anaefaham mshahara wa loan officer (home taking) crdb kwa degree
'home taking'!!!!! alafu una degree? kweli hii ni BRNellow wana jamiiforums samahani naombeni anaefaham mshahara wa loan officer (home taking) crdb kwa degree
Those who work for money will be financially struggling for their entire life.............
Those who work for money will be financially struggling for their entire life.............
Basic Salary kwa first appointment ni 1,235,000/= na baada ya makato yote (take home) ni kama 961,000/= hii ni kwa mujibu wa mtu wangu wa karibu ambaye ameajiliwa mwezi March mwaka huu.
Hivi kwani Degree ndio nini,yaani mtu mwenye akili timamu haswaa unaweza kulinganisha Mshahara na Elim?
Mfaham kwanza mitaani mpo kibao hamna issue,na kila siku vyuo vinawamwaga mitaani.
Matumizi ya Pesa ni akili yako,watu wanalipwa Laki mbili kwa mwezi na wanafanya yao.Na wapo watu wanalipwa hadi milioni tano lakini wakiachishwa kazi hawana hata moja.
Huu ndio ujinga wanafunzi wa vyuo wanaotoja nao vyoni kuja mitaani,yaani wao wanawaza pesa tuu.Mngeenda kuona jinsi Veta inavyotoa vijana wa kuanzia Darasa la Saba na baada ya mafunzo yao wakitoka pale ni habari nyingine kabisa.Muda kama wa miaka miwili hadi mitatu na wao wanaajiri na kuwa vizuri kimaisha.
Wanachuo Mtaandamana sana kwa halii,kisa ajira,kumbe tamaa
"Home taking" ndo nini?
Basic Salary kwa first appointment ni 1,235,000/= na baada ya makato yote (take home) ni kama 961,000/= hii ni kwa mujibu wa mtu wangu wa karibu ambaye ameajiliwa mwezi March mwaka huu.