Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Vijana wengi hasa graduates huwaza kuwa wakipata kazi na kulipwa mshahara watakuwa matajiri. Ndugu kama una mawazo hayo yafute.Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kulipwa shilingi laki sita (600,000) au kwa kutegemea mshahara pekee, inabidi ujiongeze na uwekeze kwenye biashara na miradi mbalimbali vinginevyo utabaki na ndoto ya utajiri mpaka uzeeni ukisubiri kiinua mgongo na pensheni. Shtuka kijana, wakati ndio huu.
NB;
Sijasema kuwa usiajiriwe hapana, pata ajira na tumia ajira yako kama Njia kukuwezesha kufikia ndoto ya utajiri.
NB;
Sijasema kuwa usiajiriwe hapana, pata ajira na tumia ajira yako kama Njia kukuwezesha kufikia ndoto ya utajiri.