Mshahara wa Laboratory technician

Mshahara wa Laboratory technician

Mr pesa

Member
Joined
Mar 20, 2013
Posts
79
Reaction score
7
Nipo chuo cha DIT nachukua diploma ya Laboratory technology, hivyo wana jukwaa napenda kujua viwandan,DAWASCO, na pi serikarini mshahara wake shiling ngap?
 
mkuu pole sn!kwahyo unasoma ili uwe mtumwa wa mtu,kama unategemea hvyo ni bora uache hyo dploma yako,and this is the problem of the most tanzania,

Mkuu ni kweli usemacho na pia Elimu kwa hapa nyumbani ni mzigo sana.
 
mkuu pole sn!kwahyo unasoma ili uwe mtumwa kama unategemea hvyo ni bora uache hyo dploma yako,a tanzania,
Na kama ni utumwa mshahara unaanzia shiling ngapi sababu nataka viwandani au ktk Quality control ntalipwaje?
 
Mbaya zaidi hiyo fani unayosomea lazima uajiriwe. Ukitaka ukajiajiri nje ya hayo uliyosomea.
 
Lak 3.5 had 4,maana wenye degree wanaanzia 5 had 8 inategemea na kampun,wahind wanabana sana!
 
Lak 3.5 had 4,maana wenye degree wanaanzia 5 had 8 inategemea na kampun,wahind wanabana sana!

Mishahara ndo kama ulivyosema mkuu. Ila akipata sehemu kama TBS au kwa mkemia mkuu wana marupurupu mengi kama vile usafiri, chakula cha mchana na risk allowance on top of the basic salary.
 
Back
Top Bottom