Kwan vip..!!wakuu naomba kujua mshahara wa katibu mkuu na naibu katibu mkuu. kama pia kuna marupu rupu naomba nijue
YuleeeeeeMkuu unatarajia uteuzi nini!? Upange kabisa bajeti..
Anyway vitu vingine kuvijua vinakuongezea madonda ya tumbo tu..
Ukigundua unapanga bajeti ya kununua dagaa utoe kitu geto, halafu kuna muhuni yupo anasubiri zaidi ya milioni 10 kwa mwezi kwa kupandisha bei ya bando.
Ni kweli
Mkuu, hebu weka rekodi zako sawa. Uliyemtaja hapo ni marehemu kwa sasa.mwulizeni Deo Filikunjombe alikuwa anapata shilingi ngapi kwa mwezi kule Barrick alafu mjue kama siasa kinachofuatwa ni umaarufu na connection tu ila sio utajiri.
Mkuu range ya mishahara hapo barrick ikoje?unaweza kuwa sawa na makuli wa Barick Gold, tofauti Katibu Mkuu ana fringe benefits nyingi, ikiwa ni pamoja na kutembelea V8
Af sio uongo daah umetisha bablaiMkuu unatarajia uteuzi nini!? Upange kabisa bajeti..
Anyway vitu vingine kuvijua vinakuongezea madonda ya tumbo tu..
Ukigundua unapanga bajeti ya kununua dagaa utoe kitu geto, halafu kuna muhuni yupo anasubiri zaidi ya milioni 10 kwa mwezi kwa kupandisha bei ya bando.
Ni Deo Mwanyika na sio Filikunjombemwulizeni Deo Filikunjombe alikuwa anapata shilingi ngapi kwa mwezi kule Barrick alafu mjue kama siasa kinachofuatwa ni umaarufu na connection tu ila sio utajiri.
ni Deo mnyika, soryMkuu, hebu weka rekodi zako sawa. Uliyemtaja hapo ni marehemu kwa sasa.
Kawaida katibu mkuu anatakiwa kuwa salary kubwa kuliko watumishi wote waliochini yake kwenye wizara wenye Scale za TGS ukiacha wale wa mashirika. Kwahiyo inawezekana TGS J, around milioni 5 hapo.wakuu naomba kujua mshahara wa katibu mkuu na naibu katibu mkuu. kama pia kuna marupu rupu naomba nijue