mbn wabunge naskia 12m..au fix tuKawaida katibu mkuu anatakiwa kuwa salary kubwa kuliko watumishi wote waliochini yake kwenye wizara wenye Scale za TGS ukiacha wale wa mashirika. Kwahiyo inawezekana TGS J, around milioni 5 hapo.
Sasa utalinganisha mshahara wa mbunge na katibu mkuu?mbn wabunge naskia 12m..au fix tu
asante sana mkuu..Sasa utalinganisha mshahara wa mbunge na katibu mkuu?
Maprofesa wanaacha chaki wanagombea ubunge sio mchezo. Mshahara wa mbunge hata jaji anasubiri. Yaani kwa ufupi mbunge anazidiwa mshahara na wakurugenzi wa mashirika tu DG/CEO.
Ila waliobaki wote takataka tu. Nakukumbusha tu tangià 27/3/2021 hadi 26/6/2021 watakuwa Dodoma kujadili bajeti na kila siku inayoenda kwa Mungu watachukua posho isiyoshuka laki 3.
Weka mbunge mbali na watoto kwenye swala la mshahara.asante sana mkuu..
Ila KATIBU MKUU KIONGOZI kamzd mbunge?Weka mbunge mbali na watoto kwenye swala la mshahara.
Karibu
Hahaaaaaa iv JF kumbe vilaza wamejaa iv eeet filikunjombemwulizeni Deo Filikunjombe alikuwa anapata shilingi ngapi kwa mwezi kule Barrick alafu mjue kama siasa kinachofuatwa ni umaarufu na connection tu ila sio utajiri.
Haiwezekani PM alipwe 6M afu DG alipwe 22M it doesn't add up! Mshahara wa PM uko juu way over 20MYeah this is very true coz mshahara wa prime minister (gross salary) ni 6m
Ni Deo Mwanyika na sio Filikunjombe
duh..Ila Dr.Bashiru kafaidi kdgo mshahara wa kwanza.Ili ujue mshahara wa KMK kwanza unatakiwa ujuwe mshahara wa Rais Wako,ambapo kwa kipindi cha Kikwete wanasema ilikuwa 400
Mishahara na posho mbunge mshahara 4m+posho 8m upo hapoIla kweli, yaani waziri mkuu alipwe 6m wakati mbunge analipwa 12m?. Hata ukiwa kilaza w darasa la 2b huwezi kuamini huu ujinga. Kwanza prime minister lazima uwe mbunge then ndio upendekezwe na raisi then upigiwe kura bungeni so nahisi atakuwa na hela kuliko hata maCEO na DG wa taasisi zaserikali. Na huyu anasafir miaka yote 5 so posho yke sio mchezo