Mshahara wa Katibu mkuu

Mkuu unatarajia uteuzi nini!? Upange kabisa bajeti..

Anyway vitu vingine kuvijua vinakuongezea madonda ya tumbo tu..

Ukigundua unapanga bajeti ya kununua dagaa utoe kitu geto, halafu kuna muhuni yupo anasubiri zaidi ya milioni 10 kwa mwezi kwa kupandisha bei ya bando.
 
Yuleeeeee
 
unaweza kuwa sawa na makuli wa Barick Gold, tofauti Katibu Mkuu ana fringe benefits nyingi, ikiwa ni pamoja na kutembelea V8
 
mwulizeni Deo Filikunjombe alikuwa anapata shilingi ngapi kwa mwezi kule Barrick alafu mjue kama siasa kinachofuatwa ni umaarufu na connection tu ila sio utajiri.
 
mwulizeni Deo Filikunjombe alikuwa anapata shilingi ngapi kwa mwezi kule Barrick alafu mjue kama siasa kinachofuatwa ni umaarufu na connection tu ila sio utajiri.
Mkuu, hebu weka rekodi zako sawa. Uliyemtaja hapo ni marehemu kwa sasa.
 
Af sio uongo daah umetisha bablai
 
mwulizeni Deo Filikunjombe alikuwa anapata shilingi ngapi kwa mwezi kule Barrick alafu mjue kama siasa kinachofuatwa ni umaarufu na connection tu ila sio utajiri.
Ni Deo Mwanyika na sio Filikunjombe
 
Kwanza ile Landcruiser V8 haujazi mafuta wewe
 
wakuu naomba kujua mshahara wa katibu mkuu na naibu katibu mkuu. kama pia kuna marupu rupu naomba nijue
Kawaida katibu mkuu anatakiwa kuwa salary kubwa kuliko watumishi wote waliochini yake kwenye wizara wenye Scale za TGS ukiacha wale wa mashirika. Kwahiyo inawezekana TGS J, around milioni 5 hapo.
 
1.2M ukitoa makato makato anabakiwa na 92k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…