Mshahara wa January vp jamani hujatoka?

Mshahara wa January vp jamani hujatoka?

Mfanyabiashara anayepata faida kwa Siku elfu 20,anafanya kazi masaa 12 ya siku saba za wiki,anajiona bora kuliko mwajiriwa anayepata take home ya laki 6 kwa mwezi,anafanya kazi masaa 8 siku 5 za wiki.
After all mwajiriwa anaweza pia kuajirwa na kufanya biashara,ila mfanyabiashara hawezi kuajiriwa.
Hahaha.we ishi kwa kutegemea mshahara tu.utapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshahara wangu kwa mwez ni laki 460
Nina madeni bank zote
Nmb
Crdb
NBC
Kcb
Moboto
Letshego
PlatnumZ
Vikoba

Achilia mbali makato ya selikal sijui bima ya afya
Cat
Madukan mtaaan

Hivi kwa mwez napokea 49570/- tu

Maisha yangu nayajua Mimi Ila najuta sana kwann naishi hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni mwongo. Kuna kitu kinaitwa crb, huwezi pewa mkopo bank zote.
 
Hivi huyo mtumishi wa wanyonge hivi kweli alipata mshahara wake kweli maana tangu mwaka Jana 24/01/2019 tatizo hawarudishi feedback tutakuwa tunawakandia humu mpaka waache kulia Lia wawe wanasikirizia
Pyepyepye
Financial Analyst
 
Kipaumbele cha awamu ya tano sio kulipa mishahara ya watumishi wa umma.

Hapa kazi tu - SGR, Stieglers Gorge, Flyover nk.
 
Niliangalia salio nahisi zaidi ya mara 50 kwa siku hadi NMB mobile ikawa inagoma.
 
Ikishatoka tu mnishtue kuna jamaa namdai toka mwezi wa December mara ooooh sikukuu mara ada mwezi huu afe kipa afe beki lazima kieleweke
 
Back
Top Bottom