Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.

Bongo hakuna scale ya mshahala. Tajiri analipia kutokana na atakavyo amua. Serikalini kwenyewe wapo IT ambao awalipwi kabisa Kwa kisingizio Cha kujitoleaπππ
Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
IT ni pana sana, inategemea unafanya kazi gani na unaifanyia wapi
kuna ma-IT wanalipwa 150,000 kuna wengine wanalipwa zaidi ya 15,000,000....kupanga ni kuchagua !