Mshahara wa hakimu

Safety last

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
4,227
1,389
Wapendwa naomba kujulishwa mshahara wa Hakimu mwenye LL.B !shukrani kwa ushirikiano
 
250000tsh.
You are definitely not serious. Hapo unataka wasipokee rushwa? Unahukumu kesi ya mamilioni, mtu anakulengeshea milioni tano, utaiacha kwa mwendo wa laki mbili kwa mwezi?! These learnt Brodas and sisters are a big joke then! Chichemi.
 
ni lakisita hadi laki tisa. pia inategemeana kama wewe ni resident magistrate, district magistrate na miaka uliyofanya etc. vilevile kama wewe ni incharge au hakimu wa kawaida..upo hapo...
 
ni lakisita hadi laki tisa. pia inategemeana kama wewe ni resident magistrate, district magistrate na miaka uliyofanya etc. vilevile kama wewe ni incharge au hakimu wa kawaida..upo hapo...
ok mkuu shukrani kwa taarifa kwa anayeanza mkuu unarange vipi kwenye TJS after makato yote!?
 
Back
Top Bottom