Mshahara wa February bado?

Mshahara wa February bado?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila daaah nyie watumishi mna mambo ya ajabu sana ndio kwana tarehe 20
 
[emoji23][emoji23]enhe Hali imekua mbaya kiasi hiki mkuu!!!!!!
 
Watu mtaani wamevurugwa wanahamu washike hela na wenyewe wasafiri walau ndani ya nchi.Wafanyabiashara hali ngumu, wafanyakazi hali ngumu, wakulima hali ngumu.

Kila mtu anaomba kwa Mungu.View attachment 2125133
wakulima ndiyo wa kuhurumia zaidi !! wana hali mbaya mbaya mno ila kizuri tu ni kwamba huwa hawalalamiki kabisa.
 
Back
Top Bottom