ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,791
- 60,608
Watu mtaani wamevurugwa wanahamu washike hela na wenyewe wasafiri walau ndani ya nchi. Wafanyabiashara hali ngumu, wafanyakazi hali ngumu, wakulima hali ngumu.
Kila mtu anaomba kwa Mungu.
Kila mtu anaomba kwa Mungu.