Mshahara wa Disemba 2017

Na aendelee kuwabania hivyo hivyo mpaka tar 26 au 28 kabisa. Ukilipwa 19 Dec itafika tarehe 30 upo hoi vibaya mno kuliko hata mgonjwa wa ICU.
 
Vyanzo vetu vya ki-intelijesia vimetutonya ni hatari kulipa salary kabla ya sikukuu kupita.
Bora walipe tu kabla ya sikukuu maana ikiwa baada ya Sikukuu utasababisha madeni makubwa.Ila mtu anayekuwa Na Reserve mwezi January maisha Huwa yanakuwa matamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…