Mshahara wa dhambi ni Mauti!

Tangu enzi za Manabii wa kale, watu walitumia mvinyo kuburudika

Useme hakukuwa na klabu kama ilivyo sasa, zingekwepo huenda tungepewa simulizi ya baadhi ya mitume wetu kupigwa chupa na kuuawa kama huyo binti

Apumzike kwa amani mlipa Kodi mwenzetu
Mvinyo ni nzuri burudika, Hata Yesu alipandishwa kwenye kilima akaambiwa mji wote anao uona akimsujudia Shetani utakuwa wake!
 
Ona udongo unavyokula kazi za maana!
 
kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Sisi tujiombee tuwe na mwisho mwema siyo!!

Kwamba tusijidanganye kutenda maovu tunafia dhambini alafu "walevi wenzetu wananza kumpangia Mungu pa kupumzisha, kwa kazi gani tulofanya? Kuna watu wanafia Sudan na Iraq qKIHUBIRI, WEWE UNAFIA BAA MNATAKA WOTE MPUMZISHWE SAWA?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…