Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,599
- 241,415
Ni maneno machache lakini yamebeba ujumbe mzito sana !
Hakika kwa yanayoendelea kwenye siasa za nchi yetu tangu uchaguzi mkuu , inahitaji roho ya paka kuyavumilia .
walioshinda wananyang'anywa hivi hivi macho makavu na Mungu ni shahidi ! kilombero waliokuwa wengi wamedhulumiwa , Tanga walioaminiwa na wananchi wameporwa haki yao , Dar es salaam inakaribia nusu mwaka tangu uchaguzi lakini wenye haki wanapigwa danadana , ya Zanzibar sina haja ya kuyarudia.
itoshe tu kusema mshahara wa dhambi ni mauti maana yote haya Mungu anayaona , nimeweka angalizo hili ili tusije kujuta siku za usoni kwa vile ilishasemwa na wahenga kwamba Majuto ni mjukuu .
NAKULILIA TANZANIA .