Mshahara wa clinical officers 2

Mshahara wa clinical officers 2

Mkuu, Hii ni Basic Salary au Take home..?
Weka Salary Slip tuone
Hii ni Basic Salary...ya CO yaani TGHS B..
Take home inategemea na Makato yake..
Sina Salary Slip Kwa sababu Mimi Sio Muhisika yaani Sio CO ila Ninafahamu Mishahara yote ya Afya..Tamisemi na Wizara ya Baadhi ya Taasisi..
Screenshot_20250221_201844_Adobe Acrobat.jpg
 
Kwa Scale Ipi PMGSS au TGHS AU Mishahara Tofauti na Sector Na Scale Hizo
Ok Kwa Clinical Officer anayeanza Kazi kwa TGHS anaanza na TGHS B1 sawa na Tsh 740,000/=
Na Kwa PharmTech wa Ngazi ya Diploma Anaanza na TGHS B1 pia same as same
 
Back
Top Bottom