well basic ni 925,000,take home 770,000 .

kwa basic ya 925 take home haiwezi kuwa 770 acha kudanganya wenzako, hata kwa gross package ya 925 bado net haifiki 700....
well basic ni 925,000,take home 770,000 .
mkuu unatudanganya..mimi hapa nalipwa 950,000/= na take home ni 702,000/= so labda kama unatumia tax table mpya ya 2012/2013 ambayo haijatoka na inayosemekana kuwa na viwango vipya vya kodi (nafuu)....
kwa basic ya 925 take home haiwezi kuwa 770 acha kudanganya wenzako, hata kwa gross package ya 925 bado net haifiki 700....[/QUOT
Mimi nimo humo 'jikoni' graduate wengi ambao wanaitwa 'officer' kwa sasa wanakuwa na basic hiyo....ila basic hiyo inaongezeka manake ina include housing allowance na mengine na kufanya gross ifike arround 1.1m,hayo mengine sikuwa na sababu ya kutaja manake muuliza swali alitaka kujua take home/basic...no data no right to speak! kwahiyo hapo ku na vi2 viwili tofaut, estimated gross 1.1m, basic (without other benefits 925000), take home 770,000....need 2say mo?

sure, for that scenario your right, coz salary ya 1,100,000/= ina yield tax ya 226,500.00 na nssf contribution ya 110,000/= ambayo atabakiza net(take home) ya 763,500.00

Kwa 1.1m ni sawa inakuja kwenye mchanganuo but kwa but kwa 900 haiji kaka, thanx kwa kudadavua, pamoja sana kaka
A | 925,000.00 | ||
B | 92,500.00 | 92,500.00 | NSSF |
C | 832,500.00 | A-B | |
D | 112,500.00 | C - 720,000 | |
E | 33,750.00 | D * 30% | |
F | 146,250.00 | E + 112500 | TAX |
G | 238,750.00 | B + F | Total Deduction |
686,250.00 | A - G | Take Home |
kwa basic ya 925 take home haiwezi kuwa 770 acha kudanganya wenzako, hata kwa gross package ya 925 bado net haifiki 700....[/QUOT
Mimi nimo humo 'jikoni' graduate wengi ambao wanaitwa 'officer' kwa sasa wanakuwa na basic hiyo....ila basic hiyo inaongezeka manake ina include housing allowance na mengine na kufanya gross ifike arround 1.1m,hayo mengine sikuwa na sababu ya kutaja manake muuliza swali alitaka kujua take home/basic...no data no right to speak! kwahiyo hapo ku na vi2 viwili tofaut, estimated gross 1.1m, basic (without other benefits 925000), take home 770,000....need 2say mo?
hapa umeeleweka dogo