Mshahara wa Barmaid

Aisee mada imenigusa kwa historia lakini mtoa mada kaichafua pale anapoita mabaamaid public toilet au anapoandika kwamba hawakatai wakitongozwa inamaana hawana mamlaka na bongo zao,hawajitambui for sure that is sex harassment charge and very bad offence but all in all wengi wao wanafanya kazi kutokana na sababu mbalimbali so tusiwajudge mojamoja kwa moja ni useless tujaribu kuwajali tu show some love to them.. nakumbu
 

Labda ungetuelimisha zaidi na wale wahudumu wa kiume kwenye bar mbalimbali huwa wanatoa tigo kuongeza kipato? au ni nini malengo ya hii thread?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…