Mshahara wa Balozi wa Tanzania

Mshahara wa Balozi wa Tanzania

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,606
Wadau,

Hivi Balozi wa Tanzania analipwa mshahara (Gross Salary) Shilingi ngapi kwa mwezi ?

Na mabalozi wote mishahara yao inafanana au inategemeana na nchi aliyopo?

Kuna ndugu yangu ni Balozi ila naona kama yupo yupo tu, hatumsomi.
 
Hahahaaa....anahonga sana. Ndugu yako pesa zinaishia kwa vimada. Wanapata kila kitu hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom