Mshahara wa Agosti umetoka?

Mshahara wa Agosti umetoka?

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,914
Reaction score
3,437
Hili ni swali ambalo huwa naona watu wakiulizana mitandaoni kila zinapofikia tarehe za mishahara, yaani tarehe 22 mpaka 25 za mwezi.

Ikitokea mshahara umechelewa hata simu moja tu, malalamiko yanakuwa mengi sana. Unajua kwa nini unakuwa umefulia kila zinapokaribia tarehe za mshahara?

Unajua ya kwamba umejichagua kuwa wakala wa mshahara wako, unaupokea na kuwalipa wengine, huku wewe ukibaki mtupu?

Kwenye kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA unakwenda kupata maarifa sahihi ya kukuondoa kwenye huo utumwa uliopo sasa, wa kuwa wakala wa fedha zako mwenyewe.

Soma kitabu hiki na utaweza kupata maarifa sahihi ya kifedha, yatakayokutoa kwenye madeni, kuongeza kipato chako na kukupa uhuru.

Pata kitabu leo kwa kupiga simu 0678 977 007. Karibu sana.
WhatsApp Image 2019-07-13 at 18.40.50.jpeg
 
We don't have a culture of reading books. Tuko ki udaku zaidi.
 
Kwann ww usitumie hyo misingi ukafanikiwa? unahangaika kuuza vitabu hp huwa nawashangaa sana nyie maspeaker!
Kuna wajinga wanawadharau waajiriwa wa serikali. Tukiwa wajasiria mali wote nani atakua rais, mwanajeshi, polisi, mwalimu, dereva, nesi, daktari, muosha vyoo stendi etc. Hawa wote ni muhimu sana kwa kumuwezesha mjasiria mali.
Hata Mbinguni kuna mlinda mlango kuwadhibiti wapumbavu wasiingie kwenye uzima wa milele
 
Siku moja nikiwa natoka gongo la mboto nakuja town akapanda mtu mmoja anauza Vitabu kama hivyo vya biashara na matumizi ya mshahara, jinsi alivyokuwa anaqashambulia wafanyakazi na yeye alivyo in tofauti kabisa, hivyo Vitabu kwanini visiwasaidie kwanza nyie mnaoviuza maana mmechoka mbaya lkn mnawashambulia wafanyakazi, hivyo kabisa kuelezea kitu ambacho ht wewe kimekushinda au hukiwezi kabisa
 
Waambie hao wanakera sanaaaa
 
JF ni stress free zone, hoja yako imenipa faraja kwa vile umeepuka kugeuzwa fursa. Uzoefu umeonyesha matajiri wengi huko vijijini hawajasoma vitabu vya Ujasiriamali hatahivyo wamechanua kimaisha kuliko wahudhuria semina za utunzaji fedha na biashara
 
Hahaha!!

Wajibuni watumishi,mshahara tayari au bado..acheni blah blah
 
JF ni stress free zone, hoja yako imenipa faraja kwa vile umeepuka kugeuzwa fursa. Uzoefu umeonyesha matajiri wengi huko vijijini hawajasoma vitabu vya Ujasiriamali hatahivyo wamechanua kimaisha kuliko wahudhuria semina za utunzaji fedha na biashara
Hili ni swali ambalo huwa naona watu wakiulizana mitandaoni kila zinapofikia tarehe za mishahara, yaani tarehe 22 mpaka 25 za mwezi.

Ikitokea mshahara umechelewa hata simu moja tu, malalamiko yanakuwa mengi sana. Unajua kwa nini unakuwa umefulia kila zinapokaribia tarehe za mshahara?

Unajua ya kwamba umejichagua kuwa wakala wa mshahara wako, unaupokea na kuwalipa wengine, huku wewe ukibaki mtupu?

Kwenye kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA unakwenda kupata maarifa sahihi ya kukuondoa kwenye huo utumwa uliopo sasa, wa kuwa wakala wa fedha zako mwenyewe.

Soma kitabu hiki na utaweza kupata maarifa sahihi ya kifedha, yatakayokutoa kwenye madeni, kuongeza kipato chako na kukupa uhuru.

Pata kitabu leo kwa kupiga simu 0678 977 007. Karibu sana.
View attachment 1187235
HAWA JAMAA NI WAZEE WA FURSA BALAA.
WEWE MWENYEWE UMESHAJUA KUWA NI TAREHE ZA MSHAHARA NA MAPEMA UMEANZA KUNADI BIDHAA YAKO KWA MANENO LAINI YA KUPATA UTAJIRI.
20,000 X 50= 1,000,000 KIWANGO CHA CHINI

MAMBO YA FEDHA!

Dr. Makirita Amani ni
1-Daktari wa Binadamu,

Kumbuka kuwa kuna madaktari wenzako wanasubiri mishahara na hufikia wakati wanagoma kutoa huduma wakidai nyongeza ya mishahara. Ingekuwa vema ungeanza nao ili tuone matokeo chanya ya maarifa ya kifedha unayotuaminisha kwa ku-copy na ku-paste ukibadili lugha tu toka vitabu vingine vya mataifa yaliyoendelea ambayo sera zao za kiuchumi zinatoa fursa ya mafanikio kwa mbinu tajwa..

2-Kocha wa mafanikio,
Wewe mwenyewe bado unayasaka mafanikio

3- Mwandishi na
Umetumia zaidi ya miaka sita kuupata udaktari hivyo nategemea utakuwa unafanya vema pia katika vitabu na machapisho ya fani yako

4- Mjasiriamali.
20,000x Idadi ya watamani utajiri= Pochi nene
 
Back
Top Bottom