Mshahara wa Agosti umetoka?

Mshahara wa Agosti umetoka?

Sinunuagi upuuzi huo kiongozi.Anayeandika ukimwangalia na kumuuliza mawazo anayotoa yamemsaidiaje kimaisha unakuta yupo taabani.
Hivi kwanini target kubwa za haya machapisho ni watu ambao tayari wana kazi? Kwanini isiwe watu wasio Na kazi kabisa?
 
Hivi kwanini target kubwa za haya machapisho ni watu ambao tayari wana kazi? Kwanini isiwe watu wasio Na kazi kabisa?
Kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA kina manufaa kwa wote, wenye kazi na wasio na kazi, walioajiriwa na waliojiajiri na hata waliostaafu.
Maarifa yaliyopo kwenye kitabu hicho ni ya msingi kabisa, ambayo kila mtu alipaswa awe amefundishwa, lakini hatuyapati.
Karibu sana ujipatie nakala yako, piga simu 0678 977 007.
 
Back
Top Bottom